Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

Naomba msaada wa kupata hizi softwares with keys

Joined
Nov 14, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Nahitaji softwares zifuatazo na keys zake

1.UFS Micro Box

2.JAF Box

3.ATF Box

4.Z3X Box

5.NS PRO Box

6.Odin Software(for android)

7.Itune Software

8.Blackberry Desktop Software

8.Z3X Box for LG

9.Avator Box

10.Piranha Box

11.Volcano Box

12.Miracle box

Nipo Mwanza.Mawasiliano 0768292116,0753829505

Email:Business.tegwa@yahoo.com
 
Tegwa Investment,

Forums nyingine ukiweka email Moderators wanafuta maana wanataka tatizo liwe solved humo humo ndani ya forum

Back to topic kuhusu S/W na keys zake mara zote utazipata Torrent sites kama http://kat.ph ila kusema tukupe link ya moja moja itakua more cumbersome

Nakushauri unga OMG yako ya Airtel utapata 6GB kwa week kwa 2,500/= ukitaka zaidi ya hapo vifurushi vipo mpaka 41GB kwa mwezi kwa 20,000/=

Baada ya kujiunga OMG njoo omba msaada wa kutumia torrent hizo s/w utazishusha within a short time
 
Last edited by a moderator:
ukiweza install mozilla kwa pc yako pamoja na utorent then ingia kickass torrent utapata software zote. pia unaweza tumia mtandao wa tigo kwa kifurushi cha usiku cha gb 30 kwa siku mbili kwa 1000 tu.

ambapo kwa siku huo usiku utadownload almost gb 7.6

haina kusubiria ukicommand hizo software kuwa zidownload basi unaiset pc isizime then unalala
 
Msaada tafadhari kuna uwezekano wa unlocking ya vodacom modem ya Huawei Hi-Link ili iwe master
 
Hizi software zinapatika bure je box unazo kama huna haina haja yawewe kuhitaji hizi software za kurepair simu wakati box huna
 
Hapo sio zote zinahitaji keys ..kama hiyo Blackberry Desktop Software unaipata bure kutoka site yao tena latest na bure. Nimedownload jana tu.. na software kama Odin nilishwahi kuipata sikumbuki vizuri link ila bure tu na yenyewe.
 
hizi software zinapatika bure je box unazo kama huna haina haja yawewe kuhitaji hizi software za kurepair simu wakati box huna

yap sure, hizo zote zinazoishiwa na box ni hardware, itakua jamaa anataka aanzishe sehemu ya kuflash simu ila maelezo hajayaelewa.
 
Tegwa Investment,

Hizo box 10 ulizotaja ni vitu kama hivyo hapo chini na itakucost milioni kama 3.

z3x-box.jpg


Z3Xjpg.jpg
 
Last edited by a moderator:
umewah kumwambia Chief-Mkwawa koz ni box za flashing and unlocking kama skosei kama Ana mt agiza China utapata simple uje uwanze kuibia at nawe ni fundi Tegwa
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa,
Samahani kaka natamani sana kuwa fundi wa simu upanude wa software nahitaji msaada wako kaka kwani nina pc tu hivyo nahitaji maelekezo yako
 
Last edited by a moderator:
Samahani kaka natamani sana kuwa fundi wa simu upanude wa software nahitaji msaada wako kaka kwani nina pc tu hivyo nahitaji maelekezo yako

Kama una pc tu na huna hela sahau box. hizo box bei zake zinarange dola 100-200 na zinafanya kazi moja hivyo huna haja ya kuwa na box 10 mbili tatu zinatosha.

Kwa pc hakikisha una software zote za manufacture wa simu yaani kama nokia pc suite, samsung kies, bb desktop software, itunes nk. software hizi ni buree just google download kwenye pc yako.

Pia inabidi ujue kutumia odin na namna ya kudownload stock rom za simu mbalimbali,

Inshort vitu hivi haviji kwa siku moja bali experience ya miaka na miaka,
 
yap sure, hizo zote zinazoishiwa na box ni hardware, itakua jamaa anataka aanzishe sehemu ya kuflash simu ila maelezo hajayaelewa.

Yeah! Kabisa ila ajaelezea vizuri maana haina hata haja ya yeye kuwa na box zote mfano avatar uwezo wake mdogo bora volcano yaan kidogo angefanya hivi kwa Chinese android angechukua dragon box au volcano box.

Ila kwa samsung na lg htc na motoloro na huawei sana sana angepata Z3x box na sigma key iphone haina box zaidi ya kutumia itune na blackberry atumie desktop manager nokia hata phoenix nzuri.
 
Back
Top Bottom