Naomba msaada wa kung'amua tatizo hapa

Lager

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
389
1,071
Ilianza Kama tonsensi ikaisha ikaja michaniko ya ulimi kidogo nikatumia dawa nayo ikaisha.. sahivi nimekuwa nikisikia ganzi usoni,mbavu Kama zinabana japo sahivi zimelegeza kidogo na Kuna muda hata haja kubwa ilikuwa tabu lkn sahivi angalabu, imefika hatua nimeota viupele usoni na hata kusikia ganzi kwenye vidole vya mikono.

Hospital nimeenda nimepewa dawa na kuandikiwa sindano lkn afadhari yake si sana Hali bado inaendelea kubwa hasa hili la kufa ganzi na kusikia misuli ikivuta haswa ya mbavu ama usoni!.. mpk sahivi sijapata ufumbuzi japo kiasi fulani ipo angalau lkn bado.

Kama Kuna yeyote anaejua tatizo hili na dawa yake au kama unaushauri plz usipite hivihivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom