Kuna jamaa yangu mmoja anatumia modem ya tigo ambayo ina miezi kama mi3 hivi anatumia bure bila kulipia au kukatwa hata senti sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia na mimi nika configure ili na mimi nitumie bila kukatwa hata shilingi kwwenye modem yangu ya airtel
Kuna line za tigo zinauzwa unatumia free it aint that easy as u think kwa kuconfigure tu. Coz wanazohack hizo line za tigo piga ua hawakuambii how they do it. Lakini lazima uwe na sim card reader a certain software to hack the sim card and also som inside information za tigo. So labda kama unamkwanja nunua hzo line tu. Tafuta thread za humu kuna watu wanauza ukikosa kabisa ni pm.
hhow much inauzwa mi nataka ya airtel mkuu kama zipo niambie bei yake nione kama pesa hiyo ninayo au nijipange kwa beiKuna line za tigo zinauzwa unatumia free it aint that easy as u think kwa kuconfigure tu. Coz wanazohack hizo line za tigo piga ua hawakuambii how they do it. Lakini lazima uwe na sim card reader a certain software to hack the sim card and also som inside information za tigo. So labda kama unamkwanja nunua hzo line tu. Tafuta thread za humu kuna watu wanauza ukikosa kabisa ni pm.
Sio modem ni line za Tigo. I repeat Line za Tigo... Tembelea apahhow much inauzwa mi nataka ya airtel mkuu kama zipo niambie bei yake nione kama pesa hiyo ninayo au nijipange kwa bei
Kuna jamaa yangu mmoja anatumia modem ya tigo ambayo ina miezi kama mi3 hivi anatumia bure bila kulipia au kukatwa hata senti sasa naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia na mimi nika configure ili na mimi nitumie bila kukatwa hata shilingi kwwenye modem yangu ya airtel
Guys its nat simple, hapa lazima ujue sum internal info za tigo, wanazozichakachua ni wa2 hao hao wa tigo, mi ninayo inapiga kazi mwanzo mwisho, mwanzo zilikuwa 10,000 tu bt now 50,000 wateja wameongezekaMi nadhani mtu rahisi wa kukusaidia ni huyo jamaa yako coz atakwambia alichofanya.