naomba msaada wa kueleweshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada wa kueleweshwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by binti ashura, May 24, 2011.

 1. b

  binti ashura Senior Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu katika jf, mie nimekuwa nikiona watu wanaandika ujumbe wakisema ni pm tuwasiliane, sijui ndo mnafanyaje ili kuwasiliana kwa ku pm. naomba msaada ili nami nielewe!
   
 2. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  PM ni private message, so kama unataka kuwasiliana na any JF registered member ki binafsi zaidi ndo utafanya hivyo. Siku ukitaka kum PM mtu nenda Kwenye home page ya JF tafuta mahali pameandikwa "private messages" then click hapo utaona options ikiwemo ya kuandika message. Natumaini umenielewa. Sawaaaaaaaaaaaaa....... natumaini umesema sawaaaaaaa.
   
 3. k

  kituro Senior Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tunashukuru hata sisi wengine tumejifunza!
   
Loading...