Naomba msaada wa kucalculate VAT kwenye hii bidhaa

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
473
Habari wakuu,

Naomba wenye utaalamu waku calculate Vat wanisaidie hii hezabu.
Nilinunua bidhaa kwa bei ya tsh. 240,000/=(VAT inclusive)
VAT = 20%
Je ni kiasi gani cha kodi ambacho nimelipa kama VAT?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If Vat = 18%

Vat = 18/118 x Tshs 240,000
= 36,610.17

Price VAT Excl.
= 100/118 x 240,000
= 203,389.83

If Vat = 20%
Vat = 20/120 x 240,000
= 40,000/=

Price VAT Excl.
= 100/120 x 240,000
= 200,000
 
If Vat = 18%

Vat = 18/118 x Tshs 240,000
= 36,610.17

Price VAT Excl.
= 100/118 x 240,000
= 203,389.83

If Vat = 20%
Vat = 20/120 x 240,000
= 40,000/=

Price VAT Excl.
= 100/120 x 240,000
= 200,000
Uko sahihi mkuu, hata mm nilipiga nikapata 48,000/= lakini nikaambiwa ni 40,000/=.
Sasa embu tupe ufafanuzi kidogo kwann umepitia hizo hatua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mkuu, hata mm nilipiga nikapata 48,000/= lakini nikaambiwa ni 40,000/=.
Sasa embu tupe ufafanuzi kidogo kwann umepitia hizo hatua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea kwa kina nielewe
Iko hivi,
Tu assume tunatumia 20% as VAT.
Sasa kawaida VAT ni 20% ya Excl Price (Not Incl = 240,000).
Kwa kua ni hivyo ina maana bidhaa yoyote yenye VAT itakua na 100% price and 20% VAT, Jumla 120% price.

Then Vat in = 20%/120%
na Price Excl = 100%/120%
*******

NB
Ukisema upige 20% ya 240,000 utatakiwa baadae ujumlishe hiyo utakayopata (Yaani 48,000) na 240,000 uje upate 288,000 kama total price kitu ambacho sio cha kweli.
 
82/100×240,000= 196,800= hii ni bei kabla ya kutatwa VAT
VAT ni 18%
Hivyo 18%×240,000 = 43,200= hii ndo VAT.
Hivyo 196,800= + 43,200= ni 240,000 = VAT INCLUSIVE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
82/100×240,000= 196,800= hii ni bei kabla ya kutatwa VAT
VAT ni 18%
Hivyo 18%×240,000 = 43,200= hii ndo VAT.
Hivyo 196,800= + 43,200= ni 240,000 = VAT INCLUSIVE

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Tshs 196,800 ni bei KABLA ya kukatwa VAT basi VAT ilitakiwa LAZIMA upigie hapa kwenye hii hii 196,800/=, na sio kwengine.
Yaani VAT = 18% x 196,800 = 35,424 kitu ambacho si kweli.
Hizi kazi za watu Bro, sio kila mmoja anaweza kua mhasibu au mwana mahesabu.
 
Sawa, 196,800= × 100/82 = 240,000= VAT INCLUSIVE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi,
Tu assume tunatumia 20% as VAT.
Sasa kawaida VAT ni 20% ya Excl Price (Not Incl = 240,000).
Kwa kua ni hivyo ina maana bidhaa yoyote yenye VAT itakua na 100% price and 20% VAT, Jumla 120% price.

Then Vat in = 20%/120%
na Price Excl = 100%/120%
*******

NB
Ukisema upige 20% ya 240,000 utatakiwa baadae ujumlishe hiyo utakayopata (Yaani 48,000) na 240,000 uje upate 288,000 kama total price kitu ambacho sio cha kweli.
Mm nimekuelewa mkuu, nashukuru sanaa..

Angalau nimekuelewa
 
Back
Top Bottom