Wakuu niko Chaka, najaribu kufanya software updates katika Lumia 720 inataka ni connect na Wifi na huku niliko sipati wifi, naomba msaada wenu endapo Kuna njia mbadala.
Wakuu niko Chaka,najaribu kufanya software updates ktk Lumia 720 inataka ni connect na wifi na huku niliko sipati wifi,naomba msaada wenu endapo Kuna njia mbadala.
asante.