selopheady
Member
- Nov 29, 2011
- 27
- 2
Modem yangu ni HUWAHEI ZAIN
E-1550
IMEI-352445041717480
Naomba waungwana mnisaidie kupata codes za ku- unlock
E-1550
IMEI-352445041717480
Naomba waungwana mnisaidie kupata codes za ku- unlock
Modem yangu ni HUWAHEI ZAIN
E-1550
IMEI-352445041717480
Naomba waungwana mnisaidie kupata codes za ku- unlock
We njunwa wamavoko inabidi ukiwasaidia ku'unlock tu wajiunge na internet yetu ya pdproxy.
- Mi ni mongoni mwa wateja wake
Mkuu hizi code zake Ubovu zinauzwa lkn nakupa FAVOUR tu ntakuombea code but inachukua 2days or less
Afu ntapost hapa
wagonjwa tupo wengi...naomba pia msaada wa kufungua modem hii huawei Imei ni 354638048626922 ni ya zain model ni E1550Mkuu hizi code zake Ubovu zinauzwa lkn nakupa FAVOUR tu ntakuombea code but inachukua 2days or less
Afu ntapost hapa
wagonjwa tupo wengi...naomba pia msaada wa kufungua modem hii huawei Imei ni 354638048626922 ni ya zain model ni E1550
- Mi ni mongoni mwa wateja wake
mkuu nashukuru sana kwa msaada wako...elimu yako tunafaidi wengi...ubarikiwe kakaIMEI: 354638048626922
This is your codes:
» Unlock code: 33873532
» Flash code: 54210861
Have fun!
we achana na Flash codes chukua Unlock codes maana niki-calculate na copy na kupaste
Lkn weka line ya Tigo,zanyel au Voda kwanza