Habari! Nahtaji unlock codes za hii kitu, itumie line zote. Sas ivi inatumia line ya vodaom tu.
- Unlock codes za hiyo HUAWEI E5331 ni tsh 20'000 tu
- Pitia huu uzi ili kukamilisha order yako: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-8.html
- Hapo ninachohitaji ni IMEI number tu.
Nipe muongozo, ntalipia
Inachukua mda gan kupata codes!
Imei: 863619013416790
Hi,Wow! Thanks much much!
Hi,
here is the details..
Model: Huawei E5331
IMEI: 863619013416790
UNLOCK CODE: 93356553
----------------------------
Naomba feedback hapa | https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number-8.html
KARIBU
Mm atakayeweza Unlock ya SMILE il ani PM tufanye kazi
mkuu Mwl.RTC vp kuhusu huawei e3231 hilink,,inawezakana ??
OOOh........!! One thing!, HAPPY BIRDTHDAY ndugu , Naona hapo juu siku kama ya leo mwaka 2012 ndio umezaliwa rasmi hapa JF !
- Ni PM 1]Brand Name , 2] Model Number, na 3] IMEI yake
- Ili nikuangalizie kwenye server kama ipo
- KARIBU
![]()
mkuu Mwl.RTC vp kuhusu huawei e3231 hilink,,inawezakana ??