Naomba msaada wa ku-install Kaspersky antivirus

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
Wakubwa nimekomea hapo na hii ndo mara yangu ya kwanza kuinstall iki kitu
 
Attachments

  • 1415200225097.jpg
    1415200225097.jpg
    59 KB · Views: 221
ingiza activation code kama huna chagua hapo activate trial version of the application

Ok. Lkn ina last kwa siku 30 tu.. je trial ikiisha natakiwa kufanyaje
 
mh licence yake ni kwa pc tatu sasa sijui mi nilikua wangapi

ukiambiwa 3 pc license haina maana ndo una-install kwenye pc tatu tu basi hii ni kwa wale wanaoshare antivirus ndio misho pc 3 mfano ukinuna cd ya antivirus ndio unakuta hiyo labda 1 or 2 or 3 license maana yake kama ni 1p license utainstall hiyo antivirus kwenye pc yako tuu ila kama ni 2-3 license ndio utainstall kwenye pc 3 inamaana mtashare activation code ila kwenye crack haiko active sababu activation code zinabadilika so unaweza kuweka hata kwenye pc 50 naisisumbue
 
Nimekusoma sasa
 
Back
Top Bottom