Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,337
- 2,907
Nina Desktop ya zamani kwa kiasi fulani, aina ya IBM 2.8 Ghz, 2 GB Ram single core.
Tatizo ninalolipata haiwezi ku boot kutoka kwenye flash disk, kwenye boot sqeeze hakuna option ya USB ila kuna Removable, lakini ukiweka hii removable iwe first boot flash hai-detect.
Tatizo ni nini wadau hau ndiyo haina uwezo huo?