Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu
talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.
kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17
na hukumu ilikiwa ivi
mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui
na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000
na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.
kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin
lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili
je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje
na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu
NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili
kwa mimi bon
Kwa muundo wa mahakama uko hivi:-Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu
talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.
kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17
na hukumu ilikiwa ivi
mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui
na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000
na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.
kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin
lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili
je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje
na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu
NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili
kwa mimi bon
alikuwa sio chizi wla anywi pombe kozi ilikuwa usiku alichosema amelala na mkewake watu wanampigia kelele sikuwa peke yangu tulikiwa wengiMkuu kabla wana sheria hawjaja kutupa utalamu wake.. Wakati kesi ikiendelea Utetezi wake ulikuwaje? Kwamba alikuwa chizi ghafla au? Na Kwa nini alikulenga wewe tu wakati ku;ikuwa na watu wengine? Mkuu hujawahi kutenda kosa lolote la kumkwaza yeye mfano kutembea na Mke wake au hawala yake au Mali?
Labda ukishare na sisi tunaweza kujua hao wanasheria wanaanzia wapi kukupa ushauri ila ukiendelea kuliweka hivyo ulivyoiwasilisha utaishia kupewa Pole tu
duuuuuuuuuuuuuu kwa hiyo wengine walikimbiaalikuwa sio chizi wla anywi pombe kozi ilikuwa usiku alichosema amelala na mkewake watu wanampigia kelele sikuwa peke yangu tulikiwa wengi
asante kaka kwa ufafanuzi wako je kisheria hukumu ipoje kwa mtu alie jelui kwa silaaaKwa muundo wa mahakama uko hivi:-
Kama hukuridhika na maamuzi/hukumu ya mahakama ya mwanzo unakata rufaa mahakama ya juu yake ambayo ni mahakama ya Wilaya. Rufaa ya maamuzi ya mahakama ya wilaya hukatwa mahakama kuu. Lakini kwa mahakama ya wilaya mwenye mandate ya kukata rufaa kwa upande wa jamhuri/mlalamikaji ni mwendesha mashitaka. Kwa rufaa niishie hapo
Kama hakimu wa mahakama ya mwanzo anakusumbua kukupa copy of judgement (nakala ya hukumu), nenda kwa hakimu wa wilaya toa malalamiko yako. Haki itatendeka.
POLE SANA.
Naomba ufuate hizo taratibu ndugu yangu. Kwako wewe bahati nzuri unalalamikia adhabu iliyotolewa dhidi ya accused kuwa ni ndogo. Hivyo maelekezo zaidi utayapata kwa hakimu wa wilaya.asante kaka kwa ufafanuzi wako je kisheria hukumu ipoje kwa mtu alie jelui kwa silaaa
Pole sana kwa hayo yote mabaya yaliyokukuta kaka!.Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu
talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae ishi nae mtaa mmoja sikujua chanzo cha kunijelui na alipo nijelului kulikuwa watu
tulienda kufungua kesi police bahada ya hapo mtuhumiwa alikamatwa tarehe 19 /1/2017.
kesi ikafika mahakama ya mwanzo 20/1/17. hadi ukumu ilipo kuja kutolewa 25/4/17
na hukumu ilikiwa ivi
mtuhumiwa alionekana na kesi ya kunijelui
na mahakama iliamulu nipewe fidia ya 50000. ikiwa nimetumia zaidi ya 600000
na mtuhumiwa wangu kupewa kifungo cha nnje miezi3.
kwa mimi binafsi sikulizishwa na hukumu ilio toka nikamua kukuta rufaa kwenda mahaka ya wilaya ya morogoro mjin
lakini cha ajabu nilinyimwa adi nakala ya ukumu na akimu na kupewa maneno machafu yasiyo staili
je kuhusu sheria inasemaje mtu akijelui kutumia panga hukumu inakuwaje
na kuhusu muda nilio poteza majeraa alio nipa pesa ya matibabu
NAOMBEN MSaada wenu na ufafanuzi juu ya hili
kwa mimi bon
asante sana kaka nimekuelewa kkwa imakini na maelezo yako na ufafanuzi wako nimekuelewa sana. ipo hivi tayali nimesha kata rufaaa na tarehe 14 /6 /17.tunanderza na kesi je kuna haja ya kutafuta wakili wa kusimamia hili swala mahana kesi ni yajinai ila cha ajabu tangia mwanzo sikusimamiwa na mwanasheria wa serikali je kuna haja naomba mlejesho wako mkuuuPole sana kwa hayo yote mabaya yaliyokukuta kaka!.
Mikondo ya sheria ipo miwili (a) criminal channel na (b) civil channel). Criminal hulenga zaidi kumpanishi mharifu ili apate maumivu asirudie (DETERENCE) na Civil hulenga kumpa fidia mtu alieumia ili kumrudisha kwny hali yake ya kawaida km kabla hajaumia kisaikolojia kwa kumpa fidia ya pesa (COMPESATION)
Kilichofanyika (kwa maelezo yko) ni criminal channel ambayo husimamiwa na serikali. Mtu kumjeruhi mwingine ni kosa kijinai (soma kifungu cha 241 cha sheria ya adhabu sura Na. 16 kujiridhisha zaidi).
USHAURI WANGU!.
Huna sababu ya kukata rufaa mahakama ya wilaya kwan tyr ishadhibitika (PASIPO KUWA NA SHAKA) alitenda kosa hilo na ameadhibiwa KIJINAI. Hivyo basi nenda mahakama ya wilaya (kwa kuwa kesi yako kimadai tunaita TORT) ukafungue kesi ya madai SIO RUFAA ili wewe uweze kupata fidia ya gharama halisi ulizotumia (SPECIFIC DAMAGES) mbazo utadhibitisha vikali (i.e strictly proof), na pia utapewa kifuta maumivu (GENERAL DAMAGES) ambapo kwa mkondo wa JINAI huwezi kuzipata!.
Ukomo wa kufungua kesi yko (Kwa madai) ni pale itakapopita miaka 3 hujaomba nafuu mahakamani hapo utakuwa nje ya muda (TIME BARRED) kwa sasa uko na muda!.
MALALAMIKO DHIDI YA HAKIMU KUHUSU HUKUMU
Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kwa mahakimu mahakama ya mwanzo ni MKUU WA WILAYA so waweza kwnd huko ama kuwasilisha malalamiko yako moja kwa moja kwny tume ya mahakama Tanzania kwa SMS ama WHATSAPP kwa namba 0752 500 400 utapewa maelekezo ya kufanya.
Asante!!!.