Naomba msaada wa kimawazo kutokana na kupata alama hizi

Hapo hakuna namna, kama anataka kwenda A level lazima afanye ku resit tu.

Wazo langu.
Kwakuwa hajapata pass kwa masomo mama ya sayansi hivyo hawezi kutafuta certificate Kwa kozi zenye maana kama za afya.Hivyo basi hizo pass za masomo ya arts zitamwezesha kuwanza certificate ktk college kama IRDP Mwanza, na kina chuo kingine Dodoma cha design hii.
 
Mkuu, Chemistry tu imem-nock sembuse hyo physics..
Ila namshauri dogo atafute course aipendayo aanze certificate anaweza kujikuta anatoboa hadi University.. Wenzio wengi tumepitia huko..
Ila kiukweli wanafunzi mnaopata dvsn IV miaka hii mpo kwenye matatizo makubwa, heshima ya
IV iliishiaga toka 2013..
Kwanini ulikataa kufanya somo la Physics, nauliza kwanini nimeumia mnoo

Sent using komputa mpakato
 
Hv kilimo umeona ndo course rahisi yakusoma failure..?
Huyo bado haja-qualify kusoma Agriculture hapo unaona kapass Bios & Geog.. Kilimo sasa kwa ngazi ya certificate wanahitaji at least pass 4 but pass 3 ziwe za masomo ya sayansi, kwa maana hapo angepass japo Chem au Math LABDA huko kwenye misitu
kwa sababu unapass ya bios na geos kasome kilimo au misitu kama siyo mining surveyor pale dodoma
 
Nimepata D-5,C-1,F-2
Biology -D
Geography -D
History -D
Kiswahili -D
Civics-D
English -C
Math-F
Chemistry -F

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shule hiv sasa sio kama zamani ,,kwamba itakuja kukupa shukrani kwa kupata kazi offisin n.k maisha yanaenda kasi na mambo yanabadilika , kama una issue ya maana sana ya kufanya mtaani fanya, usihangaike sana matokeo yako yanatosha shukuru tu
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hv kilimo umeona ndo course rahisi yakusoma failure..?
Huyo bado haja-qualify kusoma Agriculture hapo unaona kapass Bios & Geog.. Kilimo sasa kwa ngazi ya certificate wanahitaji at least pass 4 but pass 3 ziwe za masomo ya sayansi, kwa maana hapo angepass japo Chem au Math LABDA huko kwenye misitu
mkuu huyo mtu hajafeli kama mnavyofikiri siku hizi mtu anaweza kapata four ya 30 lakini anaweza kasoma udaktari au nesi akiwa na D4 za sayansi,msimkatishe tamaa huyo dogo anaweza soma Mifugo, misitu,land and mining surveyor na mengine kibao.
Entry Requirements

QUALIFICATION
CERTIFICATE COURSES

  • A candidate must have passed CSEE at least two science subjects i.e. Biology, Chemistry, Physics, Mathematics, Geography and Agriculture with a minimum qualification of at least grade D and must have passed two other subjects except Religious subjects and cookery with a minimum qualification of at least grade D
OR
  • A candidate must have passed CSEE with a Vocational CBET Certificate in Animal Health and production VTA Level 3 or Trade Test I
DIPLOMA COURSES
  • A candidate must have passed ACSEE science subjects i.e. Biology, Chemistry, Physics, Mathematics, Geography and Agriculture with a minimum qualification of at least one Principal pass and one subsidiary in science subjects OR
  • A candidate must have passed certificate course in Animal Health and Production (AHPC), Agriculture and Veterinary Science (Agro-vet) and Certificate in Agriculture and Livestock Production (CALP) which are equivalent to NTA level 5.
 
Nimezungumzia Kilimo mkuu.. Ila mifugo na kozi zote za art anasoma
 
Kuna vyuo kama tpsc magogoni dar es salaam hivi ninaweza nikajiunga na kama ikiwezekana je ni course gani ambayo inalipa

Back
Top Bottom