Naomba msaada wa jinsi ya Ku-Update Android Version ya Simu

Simu ni ile ile una upgrade tu operating system (OS) kama window tu windows 10 ni tofaut na window 7, faida zipo update ndo utazijua hasara zipo kwa old device
aah kumbe ndio hivyo nashukuru kwa darasa.
 
kwani hizi Android 9 mpaka 10 zinafaida gani na kunatofauti gani na hiyo 5 mpaka7 labda embu nitoe ushamba
Kuna masuala mengi tu mfano security,user interface, convenience, na mengineyo.kwa mfano mimi kwenye android 9 nikidelete document au file la audio linaondoka jumla ila la video linaenda kwenye recycle bin,kwenye android 10 kila sina ya file liwe document,iwe audio linakuwa na recycle bin yake ambayo haiingiliani na na mafaili ya aina nyingine.Hii ni badiliko moja tu yapo mengi
 
Nilikua najinyima radha ya galaxy kwa kukomaa na android version 4.hadi niliposaidiwa na youtube kui update. Sasa nateleza tuuu.

Japo nakumbana sana na changamoto ya Internet kuwa slow down
Umewezaje boss maana na kwangu J1 ace nahitaji ipate walau version 5 kutoka 4
 
Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1
Kweli kabisa mkuu nimeupdate A50 yangu kwenda android 10 saiv inakula chaji kweli afu hairekodi calls tena km mwanzo pia fast charging imepungua speed.
Kwa simu ya Samsung sioni haja ya kuibebesha mzigo wa gcam,, nlidownload gcam nkaishia kuifuta tu coz nliona camera ya simu inabamba tu sana.
 
Kweli kabisa mkuu nimeupdate A50 yangu kwenda android 10 saiv inakula chaji kweli afu hairekodi calls tena km mwanzo pia fast charging imepungua speed.
Pole fanya hivi alafu nipe jibu fanya factory data reset kama una vitu vyako muhimu fanya back-up kwanza au viamishe kwenye memory card.Hiyo njia inasaidia sana simu itakuwa android 10 ila itakuwa haina shida zinazo jitokeza sasa.Ndo mana nikashauri tu kama update haina umuhimu sana si lazima kufanya kama mimi bado nipo kwenye lollipop mkuu
 
Back
Top Bottom