Naomba Msaada wa jinsi ya ku-bypass survey kwenye simu

Naomba Msaada wa jinsi ya ku-bypass survey kwenye simu

Sentinel

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
6
Reaction score
6
jinsi ya kubypass hizi survey zinazojitokeza kila ukitaka kudownload kwenye simu, nimejaribu kutumia ile site ya bypass survey.com lakini hakuna mafanikio.
 
kaka ukiona kitu kina survey ujue ni scam wanataka tu waingize hela. achana nazo
 
Back
Top Bottom