Naomba msaada wa IPHONE 3gs firm ware 06.15.00 jailbroken

2 PAC

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
67
Reaction score
35
Wakuu nimekuwa nikiipenda sana na kuitumia simu yangu katika mambo mengi ya proffesion yangu lakini sasa nahitaji kuupgrade... Nimejaribu imeshindikana na kuwahi kulock kabisa.

Wakuu mwenye msaada wa kujua vip naweza weka hata angalau ios 5 achilia mbali 6 Kwa sasa simu hii imeshindwa kukidhi mahitaji yangu na simu yenyewe ni mpya bado kabisa ... Inanikera mpaka nimefikia hatua nataka kuitupa kabisa... Wakuu naomba msaada wenu wa kitechnologia
 
Umekwama wapi Mkuu! funguka zaidi.
 
Connect tu I tunes itakuambia software mpya iliyopo zen download and put it to ur phone zen ts over kama ni 3gs inakubali had I ios 6 ila 7 haifai bro.....
 

Soma post ya bs0d ndy majibu sahihi, fuata na link aliyoweka.
 
Last edited by a moderator:
wakuu nashukuruni sana kwa mawazo yenu hasa hiyo link ya downgrading.... bado sijaifanyia kazi hasa kutokAna na mtamdao haukuwa poa... soon nitafanya kazi kama kutakuwa na tatizo sitachelea kuja hapa mbio kwa msaada zaidi
 
unaweza kuUpgrade kwenda ios 5 au 6 hata kama una iPad baseband ilimradi tu ujue ni firmware gani exactly iphone yako itaweza kuingiza kupitia blobs zake za cydia. iPad baseBand itakuwa muhimu kwako kama unarely on ultrasn0w unlock ya simu yako. Sio lazima kuDowngrade kutoka kwenye ipad baseband. Tumia "iFaith" kuzijua blobs za simu yako, kuziSubmit kwenye cydia servers au kutengeneza ipsw unayotaka kurestore kupitia available blobs. Download hapa ( http://iosdevs.org/ih8sn0w/wsp_images/ifaith_v1_5_9.zip )
baada ya kuSearch blobs zitaonekana hivi.. Utaweza kurestore tu hizo version zitakazoonekana hapo..


pia redsnow sikuhizi inaweza kufanya firmware restore so sio lazima kurestore kwa iTunes. Download Redsnow mpya hapa ( https://sites.google.com/a/iphone-dev.com/files/home/redsn0w_win_0.9.15b3.zip?attredirects=0 ) utaweza kutengeneza custom firmware ili ufanye Restore au uRestore kupitia blobs zako ulizosave kwenye computer au cydia servers...



good Luck!
 
msaada yangu ni 3g jailbroken imestuck kwenye restore mode nimejarbu hzo njia bado inazingua! pia kama ningepata link ya ku download ifaith msaada tafadhal
 
Kwa nini usiupgrade tu hiyo mashine kaka from 3gs to Iphone 4s au 5s kabisa?
 
msaada yangu ni 3g jailbroken imestuck kwenye restore mode nimejarbu hzo njia bado inazingua! pia kama ningepata link ya ku download ifaith msaada tafadhal

Unamaanisha imestuck kwenye recovery mode kama ni hivyo fanya hivi download redsn0w unaweza search google na itune latest version kisha inastall itune kisha fungua redsn0w kisha extra manually ipsw weka firmware yake hata ios 5 or 6 kisha rudi back the jailbreak kisha uncheck zote acha then tick downgrade ipad baseband kisha next ukishabonyeza weka simu yako kwenye DFU mode fanya hivi connect simu yako na computer itatokea logo ya itune then hold power button + home ikizimika achia haraka then shikilia power button ikitokea logo ya apple shikilia na home ikizimika achia power button endelea kushikilia home mpaka mpaka usikie sound kwenye pc yako ya found new hardware then kwenye redsn0w utaona inaanza process zake kisha itamalizia kwenye simu ukiona haijaingia dfu mode ww endelea kuretry mpaka itakubali ikimaliza jailbreaking simu itawaka ila itastuck kwenye emergency ww zima weka in DFU mode tena au recovery mode fungua itune kisha italeta iphone found in recovery mode kisha shikilia shift usiachie bonyeza restore chagua firmware yako uliyodownload kisha restore
 

Mkuu maelezo yote waliyotoa na wadau yanatosha pakuanzia pitia maelezo yao vizuri utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…