Pole sana mkuu, hiyo pesa ya zawadi nono bora kanunue simu ingine mpya.
Hata ukipewa RB, mzunguko na usumbufu wa jamaa wa Cyber utajuta, na uhakika wa kuipata simu sio mkubwa sana.
Da pole sana mzee hiyo simu kuipata n 50/50 lakini polisi wan uwezo wa kuipata ila sio kirahisi pia itachukua muda mrefu sana tatizo lingine litakuja pale aliekuibia kama n mtaalamu pia wa technology anweza badili imei hapo utakua huna chako tena