Ngunya1 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 796 Reaction score 1,385 May 21, 2018 #1 jamani kuna mdgo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 hajafanikiwa kupata kazi ana dplma ya account sasa anataka aende aka tembeze bahasha upande wa Zanzibar kwa ambao mnapafahamu Zanzibar vp upande wa ajira au na huko chenga?
jamani kuna mdgo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 hajafanikiwa kupata kazi ana dplma ya account sasa anataka aende aka tembeze bahasha upande wa Zanzibar kwa ambao mnapafahamu Zanzibar vp upande wa ajira au na huko chenga?