Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 309
- 302
KweliMbele ya Go SMS
huwezi kushikwa na SMS za michepuko, saiv Mimi napata shida hatari maana SMS nachatia kitochi yaan kushikwa njenje hata sipumui full kuoga na simu
KweliMbele ya Go SMS
huwezi kushikwa na SMS za michepuko, saiv Mimi napata shida hatari maana SMS nachatia kitochi yaan kushikwa njenje hata sipumui full kuoga na simu
Hii napita nayoVault ndo habar ya mjn
Mkuu wameweka restrication mwisho watu 3 tu, ukitaka kuongeza watu ulipie kwa mwezi 5000 au kwa mwaka 33 elfusearch google GO SMS PREMIUM apk
download then install
ukimaliza ifungue itakuuliza unataka
uifanye kama dafault sms app
utakubali......
utaona msg zako zote
ukislide kulia ukurasa wa mwisho
kabisa utakuta settings etc
nenda kwenye private box
weka password yako
tarakimu 4
ukikamilisha hapo
utafunguka ukurasa wa private
kulia juu kabisa utaona alama mbili
moja ni ya kuadd contacts ambazo
unataka msg zake ziwe private
utaziadd hizo contacts.
kwenye settings utazima notification
ili msg private zinapoingia isilete
notification
UKIMWI UPO KUWA MUANGALIFUView attachment 974546View attachment 974547View attachment 974548View attachment 974549View attachment 974550
Mkuu ww utakuwa ulisha wa add siku nyingi ukitaka kuongeza itakugomea itademand ulipie elfu 5 kwa mwez au elfu 33 kwa mwakaSi kweli mkuu unaweka hata mia ni wewe tu cheki hiyoView attachment 974506
Lipia sasa unasubiri nini?Mkuu wameweka restrication mwisho watu 3 tu, ukitaka kuongeza watu ulipie kwa mwezi 5000 au kwa mwaka 33 elfu
MMhhh mkuu naona unalalamikiwa upo kimya sana....hahaUtazikuta hukuView attachment 774662
Jamaa kablock sms za da pendoUlikumbuka kujibu SMS ya Pendo?
Hapana hapana tumia iliyo cracked kama vipi nichek whatsapp nikutumieMkuu ww utakuwa ulisha wa add siku nyingi ukitaka kuongeza itakugomea itademand ulipie elfu 5 kwa mwez au elfu 33 kwa mwaka
Hapana hapana tumia iliyo cracked kama vipi nichek whatsapp nikutumie