Ulikumbuka kujibu SMS ya Pendo?
Hahah kweli aisee tena ukipata cracked swafiiiGo SMS
Iyo ni App ya SMS hapo uta add private conversation kama una michepuko wote waweke private. Afu toa na pattern kabisa ujidai mwema kumbe HAKUNA ALIYE MWEMA
Hahah kweli aisee tena ukipata cracked swafiii
Siku hzi wameweka limit ya contacts 3 tuMbele ya Go SMS
huwezi kushikwa na SMS za michepuko, saiv Mimi napata shida hatari maana SMS nachatia kitochi yaan kushikwa njenje hata sipumui full kuoga na simu
kali sana mie natumia paid applicationVault ndo habar ya mjn
EeenhVault hautojutia
Hahah! sio mimi tu ata wewe nakushauri utumie utakua hauingii bafuni na simu yakoEeenh
Kumbe ndio zako hizi
Nani sasa anayeingia bafuni na simu yake mm sina madhambi ninayoficha hiyo app hainifaiHahah! sio mimi tu ata wewe nakushauri utumie utakua hauingii bafuni na simu yako
App inakuoffer vitu vingi vingi tu sio sms pekee, Video zenu zile, Picha picha na mengine mengiNani sasa anayeingia bafuni na simu yake mm sina madhambi ninayoficha hiyo app hainifai
Mm binti mlokole we kaka sinaga mavideo ya kuficha wala pichaApp inakuoffer vitu vingi vingi tu sio sms pekee, Video zenu zile, Picha picha na mengine mengi
Sio binti mlokole tu, maana hayo mambo hayanaga ulokole wewe utakua ni malaika kabisaMm binti mlokole we kaka sinaga mavideo ya kuficha wala picha
Tena malaika bikira kabisaSio binti mlokole tu, maana hayo mambo hayanaga ulokole wewe utakua ni malaika kabisa
Duuh! ayaTena malaika bikira kabisa
Si kweli mkuu unaweka hata mia ni wewe tu cheki hiyoS
Siku hzi wameweka limit ya contacts 3 tu