Wadau naomba msaada kwani naamini humu ndani wamejaa watalaamu .Hizi pattern huwa siziamini sana
Me naona namna nzuri ni kuiblock namba ambayo unataka sms zake ziingie silence. zitaingi bila kiashiria chochote ila utakua una chungulia kwenye block sms kama zimeingia na kuzijibia hukohukoWadau naomba msaada kwani naamini humu ndani wamejaa watalaamu .Hizi pattern huwa siziamini sana
Achana na michepuko.Wadau naomba msaada kwani naamini humu ndani wamejaa watalaamu .Hizi pattern huwa siziamini sana
Go SMS
Iyo ni App ya SMS hapo uta add private conversation kama una michepuko wote waweke private. Afu toa na pattern kabisa ujidai mwema kumbe HAKUNA ALIYE MWEMA
sms zinaingia sehemu zote kiongoziGo SMS
Iyo ni App ya SMS hapo uta add private conversation kama una michepuko wote waweke private. Afu toa na pattern kabisa ujidai mwema kumbe HAKUNA ALIYE MWEMA
sms zinaingia sehemu zote kiongozi
Siyo app. iyo ipo kwenye oprtr system ya simuunajiungaje hyo app
inategema Kama na yeye ana simu ya Aina hyoSiyo app. iyo ipo kwenye oprtr system ya simu