Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

ImageUploadedByJamiiForums1410429389.962511.jpg wadau hapa inakuwaje
 
wakuu samahan hvi uki click aplication icon karbu na program selected nin kinatokea katika akaunt yako? mana sielew
 
Hivi diploma holders walioapply kupitia nacte hawana second round application? Mana sijawasikia wakisema wameletewa kitu kama hicho kwenye profile zao
 
Dawa ni kupitia list ya majina waliyoitoa TCU otherwise mnakuwa mnapoteza muda.

Kwenye ile list kuna wanafunzi wengi sana hivyo sio rahis kuona jina lako walichokosea ni kutokupanga majina kwa kufuatia mpangilio wa herufi wa majina yao.
 
Mkuu unatakiwa kusearch jina lako through no# yako ya mtihani ya Olevo, so hii itakupa uhakika zaidi kuliko kudeal na akaunti ya TCU. Over
 
inakuambia not yet done any application sielewi inamaana gan labda network error mkuu

i hope xo mkubwa...mana naskia mtandao wao unazngua xana xaxa sjui wengne tutajuaje kma wa round i mean second sesion au lah..mana hakuna kataarifa inayombia nifanye secnd kma ilvotokea kwa wingne
 
Mi mwenyewe course zangu nimeandikiwa procesed zote tano na kwa chini wakawa wameandika procesed succesful.you have been selected.ila nikajaribu kuclick sehem ya application nione kitatokea nn ndo yakaja maandish yanaxema not yet done application.nikajaribu kuangalia majina yote ya second round.sijaliona jina langu.na pale kenywe majina ya second round wameandika if your name or index no is not in this list you have been selected.wait for adimision.nahisi itakuwa ni matatizo ya kimtandao tu haujatulia.kwa navyojua kama ungekuwa huna vigezo hata sehemu ya selected program usingeiona baada ya kulogin.moja kwa moja ingekuambia you have not done any application
 
Mkuu wewe basi haupo second round, na hiyo ni tatizo la system ambalo lipo kwa kila mtu, ila kama upo second round pale kwenye view my selection status usingeona kitu bali ungekutana na ujumbe na link ya kuaply second selection.
 
Mi mwenyewe course zangu nimeandikiwa procesed zote tano na kwa chini wakawa wameandika procesed succesful.you have been selected.ila nikajaribu kuclick sehem ya application nione kitatokea nn ndo yakaja maandish yanaxema not yet done application.nikajaribu kuangalia majina yote ya second round.sijaliona jina langu.na pale kenywe majina ya second round wameandika if your name or index no is not in this list you have been selected.wait for adimision.nahisi itakuwa ni matatizo ya kimtandao tu haujatulia.kwa navyojua kama ungekuwa huna vigezo hata sehemu ya selected program usingeiona baada ya kulogin.moja kwa moja ingekuambia you have not done any application

kujifanya unajua sana kuclick utakuja utibue kila kitu. shaur zako. hivi kwanini mnakosa uvumilivu? mmeambiwa subirini wale watu wanalipwa kwa kazi ile we unataka ulazmishe ngoja ujiharbie ndo utaelewa utam
 
Back
Top Bottom