Naomba msaada Tatizo la Tablet kuchagua Line

Naomba msaada Tatizo la Tablet kuchagua Line

ze dukes

New Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Jamani msaada tablet yangu inabagua lain , yaani inasoma Lain ya tigo tu ukiweka lain nyingine haisomi Masada wadau....
 
Dah, na yangu inazingua upande wa sms pale unapobadili line. Yani huwezi reply hadi ufungue sehem mpya ya sms. Na bytes zake ni 80 tu. Nami msaada. Ni tablet ya samsung
 
Back
Top Bottom