mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 790
- 1,264
Poleni na majukumu.
Simu ya galaxy 4G LTE inanishinda kuunganisha internet, nimeingia ktk setting/mobile network, nimefanya configuration ya vodacom, pia mobile data ipo ON na neno 3G pamoja na ile mishale pale juu ya kioo kuonyesha data is available inaonekana,
bundle ipo ya kutosha kinachonishangaza nikitaka kufungua page inakataa kufungua.