Chief-Mkwawa naomba msaada laptop yang nkipaly movie inafika stage movie kama ina scratch
Nilii instal avavast katika cmputer yangu kama ant virus lakini inanisumbua na kunipigia kelele nimekereka na nikaamua kuifuta kabisa
Nikafuta icon ake na nikaenda kwa program files nikafuta file lake lakini bado nikiweka flash au nisipo weka nikiwasha computer inatokea tena mm si itaki nifanyaje chief natumia window 8
Chief-Mkwawa naomba msaada laptop yang nkipaly movie inafika stage movie kama ina scratch
1.Either movie ni full hd na PC yako haina nguvu.
2. Huna driver za graphics.
Anza na 2 kwanza kama una win 7 nenda my computer then right click kisha properties then kwenye system rating nisomee score ya graphics
ndo hio Chief-Mkwawalaptop hio ipo fresh tu hata hd movie zinaplay bila tatizo. ukiona movie inscratch hebu jaribu kufungua task manager (ctrl+alt+delete) (right click taskbar) then nenda kwenye process uangalie kitu gani kinakula cpu nyingi na kufanya computer isiplay video.
Huenda wajanja wawe washakuekea mgodi wa bitcoin
Duh ok bro what is mgod wa bitcon
bitcoin ni hela za internet na moja ya njia ya kuzipata ni kuzichimba lakini uchimbaji wake umekaa kikomputer unatumia processor, ram, video card nk. kuna watu wanatengeneza program ambazo ni kama malware zikiingia kwenye pc yako zinatumia cpu yako kuchimba bitcoin kwa faida zao. yaani unachimba wewe faida wanapata wao.
malware huyu wa bitcoin hadhuru computer bali anaifanya computer iwe slow sababu cpu muda wote inakuwa max 100% wakati wote hivyo unaporun task kubwa computer inashindwa kufanya kazi vizuri. niliwahi kumpata kwenye pc yangu na nishaona wengi wanalalamika. kumtambua anaonekana kwenye task manager akila cpu
anandikwa ivo ivo bitcoin au?
Chief-Mkwawa naomba msaada laptop yang niki-play movie inafika stage movie kama ina scratch.
Kuna movie zinazohitaji codec kulingana na mfumo wake. Sio player zote zenye codec kwa msaada zaidi tafuta program inaitwa daum potplayer hiyo program iko vizuri kama movie inahitaji codec itadownload na ku-install kwenye pc yako