bface
Senior Member
- Dec 22, 2010
- 128
- 19
Tafadhari naomba msaada nmeactivate window 7 kwa kutumia window7keygen zen afta ikanambia nilistart baada ya hapo inawaka haifiki mwisho inazima zen inawaka tena cjui nn tatizo, natumia dell latitude kama ntaweza kuingia safe mode ni unistore itakuwa poa zaidi, naomba msaada