Kwenwa Member Joined Oct 9, 2021 Posts 18 Reaction score 63 Jun 8, 2022 #1 Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi wapi na Kama nani. mwenye kujua tafadhali anijuze Natanguliza shukrani
Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi wapi na Kama nani. mwenye kujua tafadhali anijuze Natanguliza shukrani