Kuna chuo nchini uganda nimeomba kusajiriwa kwa masomo, nimetuma maomba nikatumiwa reference namba kwaajili ya malipo, lakini nashindwa kulipa kwa kutumia hizo reference namba maana nimeeenda benki CRDB na NMB, nikawaelekeza wananiambia haiwezekani kulipia kwa kutumia hizo reference namba, naomba msaada nitumie njia gani kufanya malipo