Naomba Msaada Simu yangu imeblock pattern

Naomba Msaada Simu yangu imeblock pattern

ndaigirl

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
37
Reaction score
3
Jamani mwenye ujuzi kidogo na simu, galaxy s4 imeji blok, mtoto kachezea pattern nkiiwasha inaniambia nweke email na passwod na mimi pass word sikumbuki jamani.

Naomba kama kuna mtu anakumbuka anisaidie tafadhari.
 
Hamna kitu, sema tu unataka maujanja ya ku'crash' simu ya mumeo umchunguze!
 
Jamani mweny ujuz kidogo na simu galaxy s4 imeji blok mtoto kachezea pattern nkiiwasha inaniambia nweke email na passwod na mm pass word skumbuki jamani km mtu anawez kunisaidia

Mimi nipo Dar @ Magomeni Naweza Kukusaidia
Nitafte Hapa 0658967191
 
Inaandik put ur email na paswod tatizo ipo kweny passwod ciikumbuki
 
Jamani mwenye ujuzi kidogo na simu, galaxy s4 imeji blok, mtoto kachezea pattern nkiiwasha inaniambia nweke email na passwod na mimi pass word sikumbuki jamani.

Naomba kama kuna mtu anakumbuka anisaidie tafadhari.

Una maana km kuna mtu anakumbuka password yako au ni vp?
 
Inaandik put ur email na paswod tatizo ipo kweny passwod ciikumbuki

hapo chakufanya ifanyie reset ila utafuta kila kitu ktk simu
zima simu yako.
then washa kwa kubana batan ya kuwashia na batan ya kuongezea sauti kwa pamoja. kisha tumia key za volume kuselect factor reset. kisha bonyeza power batan itafuta kila kitu nakuanza upya.
 
Back
Top Bottom