Naomba msaada simu imegoma kuonyesha majina SMS

Naomba msaada simu imegoma kuonyesha majina SMS

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Samahani waungwa, natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha, kwenye SMS inaandika hivi messages conversation. Leo toka asubuhi tatizo hili limejirudia hata simu nashindwa kupiga majina hayaonekani.

Naomba msaada wako, nifanyeje tatizo liishe
 
Back
Top Bottom