specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Wadau nimebambikwa simu ya mchina (Samsung galaxy S4)....mwanzoni ilikuwa inawaka vzuri kama samsung S4 lakin kwasasa inawaka ikionyesha ni Media Tek- android....
Pia imekuwa slow sana + kuganda "kustaki staki" na inatatizo lakujizima na kujiwasha (inajire-start ) yenyewe....
Naomba msaada wakuifanya iwake kama s4 sio mediatek na zaidi iache hili tatzo lakujizima na kujiwasha + kustaki...