Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,980
Lipia iyo theme, kisha upload kwenye website yako. Customize according to your needs na uendelee, kama hutaweza mlipe mtu akufanyie hayo yote niliyoyasema.Habari za siku
Mimi sina ujuzi wa haya ila kutokana na changamoto iliyojiteza nyuma sitoizungumzia hivyo naona inanilazimu nitengeneze mimi mwenyewe hii website ndo mana nimekuja hapa nahitaji msaada wenu wa maelezo yatakayonisaidia nitengeneze mimi mwenyewe iwe inamuonekano kama huu
Premium Osclass Themes
Nachohitaji nipate maelezo step by step kuanza kuitengeneza tokea mwanzo wa website ambayo bado sitatengeneza mpaka kuja kununulia themeLipia iyo theme, kisha upload kwenye website yako. Customize according to your needs na uendelee, kama hutaweza mlipe mtu akufanyie hayo yote niliyoyasema.
Simple as that
Ni rahisi, kwa kuanzia naamini una domain name na una web space kwa ajili ya kuhost website yakoNachohitaji nipate maelezo step by step kuanza kuitengeneza tokea mwanzo wa website ambayo bado sitatengeneza mpaka kuja kununulia theme
Naomba uzoefu wa digital ocean mkuu!!Usinunue hosting na domain name sehemu moja hii ni kwa sababu siku ukitaka kuhama host anaweza kuitumia hiyo domain name yako kukushikilia hostage.
Nunua domain sehemu wanazouza domain kama namecheap, dynadot au gandi.net wote ni wazuri na hakuna tofauti kubwa. Ukitaka kuhama host unapoint domain name yako kwa host mpya hakuna kazi ya kuhamisha domain.
Hosting kwa vile ndo unaanza unaweza kununua basic shared hosting mpaka hapo ambapo mahitaji yako yataizidi uwezo wake dreamhost, hostgator wanafaa kwa hili.
Hiyo ni theme ya Osclass ambayo ni software ya bure ya classifieds so inabidi utafute mtu afanye installation ya Osclass kwenye hiyo hosting service yako kisha weka hiyo theme ambayo unabidi uinunua for $50.
Haina njoo nikupe service kutoka server za ukweli tena kwa bei nafuu kabisa pawahost.comHost za kibongo nasikiaga ni mizinguo kati ya godaddy au namecheap unanishauri nitumie ipi
Ni rahisi, kwa kuanzia naamini una domain name na una web space kwa ajili ya kuhost website yako
Kama huna hiyo ndio itakuwa hatua ya kwanza.
1. Nunua/lipia domain name kutoka wauzaji wowote ambao unaona wana gharama nafuu, .tz uwa ni 25k tsh na .com unaweza pata mpaka kwa senti 99 za kimarekani. Ukishanunua domain name
2. Lipia web hosting ambae ataendana na mahitaji yako. Kisha point domain name yako kwenye webhosting uliyo nunua/lipia.
Ukiwa umekamilisha ivyo sasa ndio mengine yanafuata
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Bure?Nachohitaji nipate maelezo step by step kuanza kuitengeneza tokea mwanzo wa website ambayo bado sitatengeneza mpaka kuja kununulia theme
Vyovyote nicheki pmBure?