Naomba msaada - nitawekaje picha yangu ionekane ninapo weka post? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada - nitawekaje picha yangu ionekane ninapo weka post?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ntemi Kazwile, Jun 10, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba msaada wa namna ya kuweka picha ili ionekane nikiandika post kama za wadau wengine ambao picha zao zinaonekana.... mimi ninapicha kwenye profile yangu lakini nikiandika post hainekani hii picha nisaidieni tafadhali
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
Loading...