Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

The Great Haya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
1,799
Reaction score
1,681
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.

Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu

===
Maoni ya mdau

Bado kuna mambo mengu ya kuzingatia kabla ya maamzi sahihi:
1: Kupata historia yako kamili
Unaweza kuwa na matatizo ambayo binafsi hujayatambua ambayo haujayazingatia.

Mfano:
A:Unaweza kuwa na matatizo kama: Allergy/mzio(hivyo vumbi vyakula vya rangi isiyo asili ikawa ni chanzo).

B: Unaweza kuwa na tatizo la Reflux(Gastro Esophageal Reflux/GERD). Ambayo hurudi juu na kuathiri njia ya koo.

C: Tiba isiyotoshelevu ikihusisha kiasi cha dawa, aina ya dawa/?usugu na kiasi cha muda wa uchukuaji dawa.

2: Pia ni wakati wa kujua inatokea mara ngapi kwa mwezi au mwaka kwa wastani.

3: Kuangaliwa koo ili kuona mabadiliko yaliyopo kama kweli ni Tonsils au kuna kitu tofauti.

NB:
Kwa mazingiza haya, ni vyema kukutana na daktari bingwa wa koo(ENT) ili aweze kufanya majumuisho mazuri na tiba sahihi. Ukishindwa, pia daktari bingwa wa magonjwa ya ndani au daktari wa kawaida mwenye uzoefu mzuri anaweza kuwa msaada mkubwa kwako kwa kuanzia. Tiba njema.
 
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
nenda hospital nzuri yenye bingwa wa ENT (otolaryngologist), afanye maamuzi labda ya kuzitoa (Tonsillectomy) au vinginevyo
 
Hua wanazikwangua ila dah inauma hio balaa
 
fanya mchanganyo huu.
Andaa tangawizi,Limao na kitunguu swaumu/maji.

Saga tangawiz na kitunguu kwa blenda.

Then weka maji glass moja na chemsha ,ikichemka vizuri,iipue na kuchuja.
Then kamulia limao moja kwenye hayo maji ulio ya chuja bado yakiwa ya moto.
Weka na chumvi kwa mbali then anza kunywa kama chai.

fanya ivo asbh na jion.
 
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.

Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
Bado kuna mambo mengu ya kuzingatia kabla ya maamzi sahihi:
1: Kupata historia yako kamili
Unaweza kuwa na matatizo ambayo binafsi hujayatambua ambayo haujayazingatia.

Mfano:
A:Unaweza kuwa na matatizo kama: Allergy/mzio(hivyo vumbi vyakula vya rangi isiyo asili ikawa ni chanzo).

B: Unaweza kuwa na tatizo la Reflux(Gastro Esophageal Reflux/GERD). Ambayo hurudi juu na kuathiri njia ya koo.

C: Tiba isiyotoshelevu ikihusisha kiasi cha dawa, aina ya dawa/?usugu na kiasi cha muda wa uchukuaji dawa.

2: Pia ni wakati wa kujua inatokea mara ngapi kwa mwezi au mwaka kwa wastani.

3: Kuangaliwa koo ili kuona mabadiliko yaliyopo kama kweli ni Tonsils au kuna kitu tofauti.

NB:
Kwa mazingiza haya, ni vyema kukutana na daktari bingwa wa koo(ENT) ili aweze kufanya majumuisho mazuri na tiba sahihi. Ukishindwa, pia daktari bingwa wa magonjwa ya ndani au daktari wa kawaida mwenye uzoefu mzuri anaweza kuwa msaada mkubwa kwako kwa kuanzia. Tiba njema.
 
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.

Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye uzoefu naomba msaada wenu
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Tonsils nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Shukurani mkuu HIV ni -ve ila h pyrol ninazo
Ndo zinakuletea tonsils kama umepima nunua heligo kit kunywa on time kama bado watakuwepo Tumia combination ya clarothromycin kampuni ya claranta , afu kuna tinidazole na omeplazole hiyo combination huwezi kutest postive h pyrol tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom