Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Ushauri tu...
Ukiona umetingwa sana komaa hapo chuo ufanye acrobatic ya matokeo then omba open university. Ukifanikiwa kufanya haya basi utakua umejitengenezea safari ya kuendelea na chuo for the next academic year bila kurudia mwaka, itaonekana kama umehama chuo...
Kuhusu course, we pata chuo kwanza course itafahamika mbele kwa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Tutolee shombo zako hapa...! Nyie ambao hamjasoma tunawajua tu na ata kama umesoma itakuwa st Joseph utapata vipi sup sasa. Mtu aliesoma anajua kusup na kudisco ni sehemu ya maisha ya shule na zipo reasons kibao za kufanya hayo yatokee..! Fyoko fyoko jinga sana wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Shaka huyo jamaa anaesema unaanzaje kupata sup n wa st.Joseph huyooo maana Nina waahikaji zangu wanasoma st.Joseph ya mbezi ile huwa wanasema pale hamnaga sup....au bila Shaka atakuwa ni wa Kampala huyo.... Ila kww vyuo kama UDSM na vingine vilivyo strictly supp ni kawaida Sana....tena Kwa udsm hasa CONAS ndo kabisaaa sup unatembea nazo....
 
Povu ruksa,ikikuuma kimya scania zwazwa mwingine wewe
 
Panick at your own risk. Nenda udsm katafute jina langu kokote unakojua wewe then tazama matokeo kama utakuna na sup kwenye transcript. Take chill pills boya wewe
 
Panick at your own risk. Nenda udsm katafute jina langu kokote unakojua wewe then tazama matokeo kama utakuna na sup kwenye transcript. Take chill pills boya wewe
Aende akatafute jina lako [emoji4]
Maserati/udsm/results [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…