Naomba msaada, nikila nakohoa, napaliwa sana

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
2,438
4,456
Kwa wiki moja sasa napata shida kweli. Nikila napaliwa sana. Mfumo wa chakula na hewa vinaingiliana. Ili nipate nafuu, lazima nipigwe pigwe mgongoni karibu na shingo.

Hata nikipiga mswaki hali ni hiyo hiyo. Nimepata dawa za mzio lakini naona hali bado.

Naomba ushauri.
Manyerere
0759488955
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kuacha kutumia chumvi ya mezani na pia acha kutumia chilli source .. Mabadiliko lazima utayapata
 
Back
Top Bottom