Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

Naomba msaada: Natafuta soko la tangawizi

Kuna group la kinyani kibichi Tanzania hua wana saidia Sana wakulima Kwa soko mpk nje ya nchi labda Kama ingewezekana kuipata namba yako uunganishwe nao hapo kila kitu kinge kua solved
 
Mkuu samahani hivi tangawizi inalimwa ktk udongo upi na msimu upi

Sent using Jamii Forums mobile app
Zao hili hustawi katika maeneo yenye hali ya kitropiki, kutoka usawa wa bahari hadi mwinuko wa mita 1,500 au zaidi. Huhitaji mvua kiasi cha mm.1,200-1,800 na joto la wastani wa nyuzi za sentigredi 20-25. Hustawi vema katika udongo tifutifu wenye rutuba na usiotuamisha maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom