Shukran sana mkuu kwa mchango huu.na naomba pia kuuliza
Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa taree na mwezi hivyo nikalazmika kuchukua barua ya kiapo kw mwanasheria je naweza tumia hiyo barua badala ya cheti harisi?
Binafc natumia app ya AJIRA TANZANIA na mfumo nimokuta tangazo na kw mwisho wa tangazo wakaandika click to APPLY nivo click wanaomba email nikatengeneza nivo isasisha wakasema email INACTIVE then hawakutoa feedback yoyote je huu nayo umekaaje?
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app