Naomba msaada namna ya kuomba ajira kwa njia ya mtandao

JESONS

Member
Aug 28, 2021
22
45
Wakuu naombeni kwa anayejua jinsi ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao hasa kwa kutumia simu.

Nahitaji kutuma maombi ya ajira zilizotangazwa na Tanesco na itapendeza kama nitapata mwongozo wa hatua kwa hatua.

Natanguliza shukrani
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
6,819
2,000
ingia kwenye hio wizara husika walipotoa tangazo ,ukikuta tangazo lao chini wanaweka link kuomba hizo kazi ......

Nyingine tumia ajira Portal ....Over
 
Cod-2

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
255
500
Andaa vyeti vyako vyote kuanzia Cha kidato Cha 4, kidato Cha 6 kama unacho, Cha chuo/fani yako kulingana na sifa hitajika za fani unayoomba, cheti Cha kuzaliwa, CV, kitambulisho Cha taifa (NIDA) au namba yake.

Nenda stationery kaviscani hivyo vitu hapo juu Kwa kuvipa majina Kila kimoja .

Mfano ukiscan cheti Cha form four unakiandika jina lake . Utafanya hivyo kwa vyeti na documents zako zote .. ili upate rahisi unapokuwa. Unaattach cheti Kila sehem uska ..
Ukiwa na simu yenye kamera nzuri. Inascan vizuri tu

Nenda play store download application inaitwa CamScanner then Anza kuscan documents zako Moja baada ya nyingine kwa kuzipa majina kama nilivyotanguliza hapo juu

Nenda mtandaoni tafta Ajira portal kipengele Cha kujiajiri ..

Hapa panahitaji umakini au uwe ni mtu wa kujua vitu, utafuata maelekezo ya kufungua account ya ajira portal hatua kwa hatua ... Ni vizuri Zaidi kwa hatua hii ukamtafta mtu ambaye ashafungua account akakuelekeza

NB: muhumi kuandaa documents zinazohitajika maana Hadi unakamilisha kufungua account na kufanikiwa kutuma maombi siyo chini ya siku mbili . Hapo una kila kitu kinachohitajika tayari
Ukipata mzoefu na una kila taarifa muhudum unamalza siku Moja na kutuma maombi.
 
JESONS

Member
Aug 28, 2021
22
45
ingia kwenye hio wizara husika walipotoa tangazo ,ukikuta tangazo lao chini wanaweka link kuomba hizo kazi ......

Nyingine tumia ajira Portal ....Over
Nimeingia ktk app inaitwa AJIRA TANZANIA ndimo mikono liona tangazo na nikasoma maelekezo na vigezo kw chini kunaseem wakasema APPLY nivo click wakadai imeri nikatengeneza then wakanandikia email INACTIVE afu hawaleti feedback yoyote.
Waweza nielekeza zaidi mkuu
 
JESONS

Member
Aug 28, 2021
22
45
Andaa vyeti vyako vyote kuanzia Cha kidato Cha 4, kidato Cha 6 kama unacho, Cha chuo/fani yako kulingana na sifa hitajika za fani unayoomba, cheti Cha kuzaliwa, CV, kitambulisho Cha taifa (NIDA) au namba yake.
Nenda stationery kaviscani hivyo vitu hapo juu Kwa kuvipa majina Kila kimoja .
Mfano ukiscan cheti Cha form four unakiandika jina lake . Utafanya hivyo kwa vyeti na documents zako zote .. ili upate rahisi unapokuwa. Unaattach cheti Kila sehem uska ..
Ukiwa na simu yenye kamera nzuri. Inascan vizuri tu
Nenda play store download application inaitwa CamScanner then Anza kuscan documents zako Moja baada ya nyingine kwa kuzipa majina kama nilivyotanguliza hapo juu

Nenda mtandaoni tafta Ajira portal kipengele Cha kujiajiri ..
Hapa panahitaji umakini au uwe ni mtu wa kujua vitu, utafuata maelekezo ya kufungua account ya ajira portal hatua kwa hatua ... Ni vizur Zaidi kwa hatua hii ukamtafta mtu ambaye ashafungua account akakuelekeza

NB: muhumi kuandaa documents zinazohitajika maana Hadi unakamilisha kufungua account na kufanikiwa kutuma maombi siyo chini ya cku mbili . Hapo una kila kitu kinachohitajika tayari
Ukipata mzoefu na una kila taarifa muhudum unamalza siku Moja na kutuma maombi.
Shukran sana mkuu kwa mchango huu.na naomba pia kuuliza
Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa taree na mwezi hivyo nikalazmika kuchukua barua ya kiapo kw mwanasheria je naweza tumia hiyo barua badala ya cheti harisi?
Binafc natumia app ya AJIRA TANZANIA na mfumo nimokuta tangazo na kw mwisho wa tangazo wakaandika click to APPLY nivo click wanaomba email nikatengeneza nivo isasisha wakasema email INACTIVE then hawakutoa feedback yoyote je huu nayo umekaaje?
 
Tinsley

JF-Expert Member
Nov 16, 2020
454
1,000

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Nenda stationary
Ndio unaweza tumia hiyo affidavit (barua)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom