AFRICAN POWER
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 151
- 236
Wakuu habarini za asubuhi,
Ninaomba maelekezo namna ya Ku upload picha.
Natanguliza shukrani
Ninaomba maelekezo namna ya Ku upload picha.
Natanguliza shukrani
Wapi?Wakuu habarini za asubuhi.
Ninaomba maelekezo namna ya Ku upload picha.
Natanguliza shukran
Katika majukwaa ya jf mkuuWapi?
Unatumia app au web mkuu?Katika majukwaa ya jf mkuu
Salaam Mkuu
Ili kuweka picha kwenye uzi wako bonyeza sehemu iliyoandikwa 'attach files' Kisha chagua picha, video au PDF uliyokusudia na uiweke kwenye Uzi wako.
Tazama hapa kwenye picha hii View attachment 2321494