watu walikuwa wakifanya hivyo wakati ule wa popo bawa lakini popo akija anawalalia!Mpe Yesu maisha yako.
Hesabu 23:23 Hakuna Uchawi juu Israel wala Uganga juu ya Yakobo.
Kuwa na utaratibu wa kuomba kutokana na imani uliyo nayo hata kama ni mpagani omba kwa kicho unachokiaminiHabari zenu wadau, mimi naomba kujuzwa njia ya kujikinga na hawa wachawi wanaonitesa usiku, yaani unakabwa hadi ukishtuka unaona kichwa hakiko sawa, nimechoka sana na hawa wanga.
Naomba msaada niepukane na hili janga jamani.
Maisha yake ampe Yesu au Mwenyezi Mungu?Mpe Yesu maisha yako.
Hesabu 23:23 Hakuna Uchawi juu Israel wala Uganga juu ya Yakobo.
Wote ni kitu kimoja kama unavyoweza kuitwa mwalimu au ukaitwa kwa jina lako halisi.Maisha yake ampe Yesu au Mwenyezi Mungu?