Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,416
- 7,649
Mmh 4k?Inategemea utafika saa ngapi makambako Ila Kama utafika usiku inabidi ulale pale then asubuhi Kuna gari nyingi pale ,ukifika makambako ulizia stend ya zamani hapo ukiuliza mtu yeyote atakuelekeza gari za mgololo bei ni 4000 Hadi 6000 kutegemea utapanda coaster au Noah kuhusu gesti zipo gaharama ni 4000 Hadi 7000
Hizi ni Lodge zina ubora gani?
