sintah
Senior Member
- Aug 18, 2013
- 187
- 191
Habarin wanajamvi,
Kwa wale wajuvi wa kuzunguka nchi nawezaje kufika Mgololo nikitokea Dar? Je, Mgololo kuna sehemu za kulala kama lodge na guest house? nishukie Mafinga au Makambako na baada ya hapo usafiri upoje na ni wa muda gani? Na nauli zao zipoje.
Natanguliza shukrani.