Naomba msaada; mwenye uwezo nimuuzie kiwanja kwa gharama nafuu.

Msaada wenu mhimu,, sina pa kushika na chuo natakiwa kulipa ada.
 
Tatizo madalali huwa na mbinu nyingi,mwingine hadi akasingizia mama yake ni mgonjwa
Nitafute kwa namba hio nikupe uthibitisho kuwa mimi ni mwanachuo nipo UDSM.

Au ukitembelea maeneo ya Ubungo,Mwenge na Chuo kikuu nicheki ili uamini.

Naona akili yako inawaza utapeli tu,mungu anakuona,ipo siku utahitaji msaada hata kama unasomea Udaktari,mambo yanabadilika.
 
Back
Top Bottom