Naomba Msaada, mekosa ada laki tatu

Naomba Msaada, mekosa ada laki tatu

Name: Jackson M mabagala

Reg NS0710

Coarse : DS SCIENCE

Subject : chemistry and biology

My account number :51010031208

Account ya chuo : 5101100072 The principal tabora teachers college
 
Nenda Halmashauri wana idara ya ustawi wa jamii au pitia kwa dc au rc. Ninyi ndio wananchi bwana.
 
Uko wapi kwanza?
Kafundishe shule part time watakulipa fedha upate ada.
 
wewe ni chama gani ...? maana ungesema wewe nichadema tungekuchangia faster ila kama wewe ni ccm utakula ulipopeleka mboga.
 
Name: Jackson M mabagala

Reg NS0710

Coarse : DS SCIENCE

Subject : chemistry and biology

My account number :51010031208

Account ya chuo : 5101100072 The principal tabora teachers college
Bank gani
 
Jamani nilipata michango ya mawazo ila imeshindikana nimenitahidi Kwa kila namuna. Naombeni ushauli nataka niache chuo
 
Back
Top Bottom