T Twayemba Member Joined Jan 29, 2024 Posts 12 Reaction score 14 Jan 30, 2024 #1 Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali. Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini tatizo liko palepale.
Niko huku mkoani Songwe Mbozi,naomba msaada kwa anaewajua mafundi wazuri wa mafridge huku tafadhali. Fridge halipozi kabisa.Kuna fundi njaa alikuja kadai ni gesi imeisha,kajifanya kujaza lakini tatizo liko palepale.