Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,182
- 1,490
atafute DRIVER PACK SOLUTION itasolve matatizo yake yote within no minute..Tatizo hapo ni drivers ziko out of date mkuu wala usiumize download latest drivers kisha fanya mambo
Bado sijafikia muda wa kuiuza MkuuKwahiyo unataka kuiuza ili ikamsumbue na huyo mnunuzi atakayeinunua? Au utamwambia ukweli kabla hujamuuzia?
Asante sana Mkuu mambo sindo haya mpaka nimejikuta nina amani!Tatizo hapo ni drivers ziko out of date mkuu wala usiumize kichwa download latest drivers kisha fanya mambo
Mkuu bado natumia window 7UNATUMIA WINDOW NGAPI MKUU?
Asante sanaatafute DRIVER PACK SOLUTION itasolve matatizo yake yote within no minute..
Ndio ilikuwa poa tu sema last month ndo ilianza kuzingua!Je,mwanzo ulikuwa unaweza kujiunga na Internet?
tumia window 10,hiyo 7 mbn ya kizamani sana mpwa?Mkuu bado natumia window 7
TUMIA KOMPYUTA MLALIO, Hautopata shida mkuu
Njia zote zilikuwa zimegoma Mkuu ndo maana nilikiwa nahitaji msaada kwasababu nilikuwa natumiaga modem siku zote!kikawaida laptop haiconect internet kama simu kiasi kwamba unaclick tu na kuingia internet. je wewe unatumia njia ipi kuingia hio internet? unatumia modem? usb tethering, hotspot au njia gani? ungeitaja kwanza hii.
Asante ngoja ni upgradetumia window 10,hiyo 7 mbn ya kizamani sana mpwa?