Naomba msaada maana laptop (HP COMPAQ) yangu inanisumbua inakataa kuunga Internet

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Habari za majukumu wana jukwaa...

Naomba moja kwa moja niende kwenye mada naomba msaada maana laptop(HP COMPAQ)yangu inanisumbua inakataa kuunga Internet nimejaribu njia kadhaa inagoma.

Nikiingia kwenye connect nabofya haionyeshi kitu nimejaribu njia zote zinakataa.

Nategemea msaada maana natamani kuiuza kwasababu haijawahi kunisumbua kiasi hichi.
 
kikawaida laptop haiconect internet kama simu kiasi kwamba unaclick tu na kuingia internet. je wewe unatumia njia ipi kuingia hio internet? unatumia modem? usb tethering, hotspot au njia gani? ungeitaja kwanza hii.
Njia zote zilikuwa zimegoma Mkuu ndo maana nilikiwa nahitaji msaada kwasababu nilikuwa natumiaga modem siku zote!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom