Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,485
Ndio shida hapo,Habari za saa,
Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.
Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?
Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Fanya Hivi Tafuta Mtu Yoyote Wa nje akuandikie Barua Ya Mualiko Hiyo Itakusaidia Kuomba PassportHabari za saa,
Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.
Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?
Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Yani Saivi Kuomba Passport Imekua kama Kuomba Visa Kuna Sehemu za Kujaza Nyiiiingii Kinoma Ajabu Una Upload doc Online Na Bado Tena Unazibeba kama Hardcopy Mpaka UhamiajiMmh, iyo passport or VISA..
,[emoji23][emoji23][emoji23] Labda ckuiz utalatibu umebadilika
😂 😂 😂 😂Yani Saivi Kuomba Passport Imekua kama Kuomba Visa Kuna Sehemu za Kujaza Nyiiiingii Kinoma Ajabu Una Upload doc Online Na Bado Tena Unazibeba kama Hardcopy Mpaka Uhamiaji
Ukifika Uhamiaji Unaambiwa Umekosea Rudi Ukajazee ....😂 😂 😂 😂
Mkuu Si Ungetoa Ujanja Hapa hapa Kwa Faida Ya WengiiIlo swala linazingua sana. PM me nikupe ujanja
Leta Tin NO, leseni ya biashara,bank statement nkTumia akili,Fanya hivi omba passport assume unaenda nchi za Africa mashariki jaza kati ya hizi Kenya au unganda dhumuni la safari andika biashara utakuwa umemaliza zingatia usiende uhamiaji umevaa kihuni vaa uhusika wa mfanyabiashara kijana utapata passport haraka tu.goodluck.
Omba passport kuwa unaenda kutembea nchi kama misri yaan hapa hapa AfricaHabari za saa,
Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.
Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?
Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Hudaiwi bank statement hiyo sio visa ukiona ni shida andika unaenda kwa shughuli za kidini.Leta Tin NO, leseni ya biashara,bank statement nk
Lete picha ya loji utakayofikia huko safarini.Leta Tin NO, leseni ya biashara,bank statement nk
Ni kweli nyaraka za uhamiaji ni kero, Leo nilikuwa nafanya online application ya passport mpya ya kielektroniki. Mlolongo mrefuHabari za saa,
Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.
Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?
Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Hiii Pia Imekaa Poa ZaidiiSema unakwenda Uganda hapo kwa Museveni. Book ticket kabisa Mwezi mmoja mbele(usilipie) na hakikisha documents zako zote zimekamilika. Hii ni pamoja na cheti chako cha kuzaliwa, barua kutoka serikali ya mtaa, National ID na cheti cha kuzaliwa au affidavit ya mzazi wako mmoja. Pia utapaswa kuandika barua ya maombi ya passport, humo waambie unataka kwenda kutembea huko safari binafsi au kuangalia fursa za biashara
Wanadai Haha shughuli za Kidini Wanaomba Eti UsibitishoHudaiwi bank statement hiyo sio visa ukiona ni shida andika unaenda kwa shughuli za kidini.
utaprint afu Bado Kuzibeba Na Kuzipeleka Tena UhamiajiNi kweli nyaraka za uhamiaji ni kero, Leo nilikuwa nafanya online application ya passport mpya ya kielektroniki. Mlolongo mrefu
Ushaingia Kwenye Web yao Ukaona Wamevyoandika Kuhusu Safari Binafsi Utachoka yaani Pasipoti Imekua kama Vile Sijui nini akati ni Haki ya Kila Raia kuipata Ila Wao Wanaona kama ni Favour iviiOmba passport kuwa unaenda kutembea take nchi kama misri yaan hapa hapa Africa