Naomba Msaada jinsi ya Ku-install Applications kwenye sony ericson Arcs

Naomba Msaada jinsi ya Ku-install Applications kwenye sony ericson Arcs

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
32,086
Reaction score
39,573
Wakuu habari?

Kwa yeyote mwenye maujuzi na simu tajwa hapo juu.
Tatizo kila niki install application, inaniambia file manifest, au error no space available.

Tatizo nini? Au niguse wapi kwa marekebisho.

Naomba msaada.
 
Hiyo simu ina internal memory ndogo sana ya 1GB, labda uwe na memory card, baadhi ya apps huweza kukaa kwenye memory card.
 
Back
Top Bottom