Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,635
- 1,951
Hivi karibuni nimesajili line mpya ya Halotel lakini kwa bahati mbaya nikapoteza kibati chake chenye PUK Number. Line za sasa za Halotel zinakuja zikiwa locked na PIN CODE. Sasa mtoto wangu amechezea simu akijaribu kuifungua mpaka imelock na kudai PUK. PUK sina na namba ya line pia siikumbuki sababu ni mpya na sikuitunza popote.
Nafanyaje ili walau niijue namba ya line hii?
Nafanyaje ili walau niijue namba ya line hii?